Huduma ya utunzaji vyeti

Huduma ya utunzaji vyeti

Katabazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2007
Posts
353
Reaction score
22
Wana JF,
Salaam.
Naomba kujua ni njia ipi ambayo ni nzuri na salama kwa utunzaji wa VYETI AU NYARAKA haswa vyenye thamani kama degree kubwa na kuendelea,ili kuepuka vitu kama moto,kuloa au kuwa fainted au kama ni Tanzania kuliwa na panya etc.
Hivi kuna banks,taasisi au kampuni zinazoweza kuwa zinatoa huduma hii hata kama ni kwa malipo?Maana wizi wa vyeti sasa umekuwa ni issue na nasikia sheria inawabana wote 2,aliyeibiwa na aliyeiba.
 
Back
Top Bottom