Huduma ya VoLTE

Huduma ya VoLTE

Je tatizo litakuwa ni nini?

  • Shida iko kwa vodacom

    Votes: 1 50.0%
  • Au ni simu ?

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
Joined
Jan 3, 2024
Posts
26
Reaction score
25
Kwa wale wanaotumia simu za google pixel na mtandao wa voda kuna mtu simu yake inashika VoLTE? maana mimi natumia pixel 6 pro ina hiyo feature lakini sioni option ya kuiwasha. Au ni shida kwa watumiaji wote wa pixel?
 
Naona kwenye 04e inawama lakini sijui inatumikaje
 
Back
Top Bottom