OK, KAMA NI YA MWAKA 2007, CC 1490
Nahitaji sana huyo mnyama sema bei yake ndio balaaOK, KAMA NI YA MWAKA 2007, CC 1490
TUTAKUAGIZIA KWA JUMLA TSH 11.4M MPAKA MKONONI.
BEI INAWEZA KUWA ZAIDI KIDOGO KUTOKANA NA MWAKA NA GRADE YAKE.
KARIBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota Tundra unaijua? Japan hawana ipo Marekani tu.
Ndio sio pickups hizo? Hata kama iko wapi, itaagizwa tu.Toyota Tundra unaijua? Japan hawana ipo Marekani tu.
Ndio ni tundra...pickups!Toyota Tundra unaijua? Japan hawana ipo Marekani tu.