Huduma za fumigation majumbani na maofisini

Huduma za fumigation majumbani na maofisini

CHAWGING

New Member
Joined
May 20, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation.

Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao Kama mbu, mende, mijusi, mchwa, kunguni, viroboto, nyoka, panya n.k.

Tunapuliza dawa majumbani, maofisini, mashuleni, kwene magodown, mashambani, kwene majengo, kwene masoko, mahotelini, mahospitali I, kwene vyombo vya usafiri, kwene chamber za vyoo, mitaro n.k.

Wasiliana nasi Kwa namba 0713983158. Tufatilie Instagram na Facebook @chawging_investment_home_decor
 

Attachments

  • VID_20210521_091818.mp4
    37.4 MB
Back
Top Bottom