Meno yangu ni mazima , ngoja wenye hiyo shida wajeAhsante karibu sana π
Wamatumbi kwa uchawi hamjambo , huu ndio uchawi sasaKwa Daresalaam:
Hospitari ya Polisi Kilwa Road, Mgulani, Temeke wako vizuri sana kwanye hii fani: karibu na Kambi ya JKT Kurasini:
Ni sahihi kuweka gharama lakini kila mtu yupo na tatizo tofauti , hivyo ni vizuri akawasliana moja kwa moja tujue tatizo lake ndyo tutajua na gharama zake unaweza weka bei kumbe tatizo lake ni tofautiIngekuwa vema ungeweka na gharama zake kwa faida ya members!, wahitaji ni wengi
Wewe ni muongo.Yanadumu zaidi ya miaka 25+ kulingana materials zilizotumika kutengeneza meno bandia , karibu kwa huduma na Elimu unaweza ipata kwa kuwasiliana nasi π
Ukiachana na Dental Crown / Kofia Ya JinoKuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu.
Hapa Kabla Na Baada Ya Matibabu
Booking & Appointment π 0658950085
Location Kibaha - Pwani, Magomeni- Dar es salaaam
View attachment 3524471View attachment 3524472View attachment 3524472
Kamloga Mtoto Hadharani, Bila Shaka Atakuwa Mbonde Toka MsangaWamatumbi kwa uchawi hamjambo , huu ndio uchawi sasa