KERO Huduma za kusua sua za watoa huduma wa mitandao [internet]. Mamlaka zinatakiwa kuwajibika

KERO Huduma za kusua sua za watoa huduma wa mitandao [internet]. Mamlaka zinatakiwa kuwajibika

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mtumiaji wa huduma za internet za kulipia kwa mwezi,watoa huduma wengi wamekuwa si wakweli na mara nyingi hawatoi kile wanachokiahidi kwa wateja.

Mimi ni mhanga wa halotel wiki nzima kumekuwa na tatizo la mtandao na wahusika hawatoi taatifa kuujulisha umma na ukiwatafuta hawana majibu ya kuridhisha na hawakupi fidia ya siku zilizopita bila kupata huduma.

Je, mamlaka zinazosimamia watoa huduma zinafuatilia kwa ukaribu ama zimeshindwa kudhibiti hali hii?
 
Back
Top Bottom