uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Dah,kiukweli wananchi tunateseka sana.ukitaka kuona ninalolisema nenda kituo cha kimara kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa moja,watu wanasukumana hovyo kama unaumwa unaweza anguka na kukanyagwa.Huo mradi ndio uhalisia wa kila sekta kwenye hii awamu na bibi yupo anacheka cheka tu
Wao wanafikiri wakirudisha ruti za daladala kwenda kariakoo (maana zilikuwepo) wataua biashara ya mwendokasi, jambo ambalo si kweli.Dah,kiukweli wananchi tunateseka sana.ukitaka kuona ninalolisema nenda kituo cha kimara kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa moja,watu wanasukumana hovyo kama unaumwa unaweza anguka na kukanyagwa.
ndo maana nikashauri kama ni kweli kuna upungufu wa magari,waruhusu wamiliki wa dala dala waanzishe route za mbezi kariakoo na posta ili kusaidia wananchi wakati huyo mwekezaji anajipanga.
Mambo mengine inabidi kukubaliana na hali halisi badala ya kuangalia faida wakati uwekezaji ni almost zero.Wao wanafikiri wakirudisha ruti za daladala kwenda kariakoo (maana zilikuwepo) wataua biashara ya mwendokasi, jambo ambalo si kweli.
Hivi sababu ya kusitisha ruti ya Kibaha ilikuwa ni ipi? Na je ni kwa nini mpaka sasa barabara ya mwendo kasi kutoka Kimara kwenda Mbezi na Mloganzila haitumiki wakati ilishakamilika toka mwaka 2021 na hakuna ujenzi wowote unaoendelea? Dkt. Gwajima DMambo mengine inabidi kukubaliana na hali halisi badala ya kuangalia faida wakati uwekezaji ni almost zero.
Walianzisha route ya kibaha na mabasi yalikuwa yanajaza nyomi,wakasema wanasitisha kwa muda,huo muda ndo imekuwa moja kwa moja.Na hakuna mabasi ya kuja mjini kama zamani.
be free ku comment,hakuna any