Huduma za Shirika la Posta Tanzania

Huduma za Shirika la Posta Tanzania

mkadiriaji majenzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
260
Reaction score
569
Habarini wana JF,

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3.

Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3 kwakuwa Posta Weekend haifanyi kazi na kilichonishangaza bahasha ya A4 wanachaji 22k kitu ambacho kwa basi ni 10k.

Shirika naomba lijirekebishe kuendana na wakati saivi ukituma kwa Basi ni siku iyoiyo mzigo unafika na kwa bei ni nafuu.
 
Back
Top Bottom