Huduma za ujenzi wa kisasa na bei nafuu

Kumbuka hapa unauza bidhaa (marketing). Hiki ulichoandika kinatosha kweli?
 
New member
Pili spelling unakosea nyumba unaandika myumba huruki nasafi

Hujaweka contact, Huna reference za kazi zako n.k


Hii inayofanya unauza ujuzi so ni biashara
Km hujikamilishi nani atakubali kuweka mamilioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…