Unachaji bei gani Kwa square meter??π¨ UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? π¨
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
β Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
β Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingiβ Bei nafuu na makubaliano mazuri
β Tunazingatia viwango vya ujenzi na usalama
π Wasiliana nasi leo kwa ushauri na makadirio ya gharama BURE!
π Huduma zinapatikana katika maeneo yote
π² Simu/WhatsApp:0765764172
π§ Barua pepe: millionmakazi@gmail.com
View attachment 3280791
π§ TUNAWEKA TARAZO IMARA KWA KESHO YENYE UHIMILIVU! π§
Mwanawane noo ujibu maswali hukuπ¨ UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? π¨
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
β Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
β Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingiβ Bei nafuu na makubaliano mazuri
β Tunazingatia viwango vya ujenzi na usalama
π Wasiliana nasi leo kwa ushauri na makadirio ya gharama BURE!
π Huduma zinapatikana katika maeneo yote
π² Simu/WhatsApp:0765764172
π§ Barua pepe: millionmakazi@gmail.com
View attachment 3280791
π§ TUNAWEKA TARAZO IMARA KWA KESHO YENYE UHIMILIVU! π§
Talazo chumba kimoja cha mita 2.6 kwa mita 4 gharama kias gan
I wish ungeweka na gharama za vifaa ....Kwa eneo la ukubwa wa mita 2.6 Γ 4 = sqm 10.4, tunatumia gharama ulizotoa kwa kila mita ya mraba.
Gharama za Kazi (Labour Charges)
- Dar es Salaam:
TZS 10,000 Γ 10.4 sqm = 104,000 TZS- Mikoani:
TZS 14,000 Γ 10.4 sqm = 145,600 TZS
Vifaa Vinavyohitajika (Makadirio kwa sqm 10.4)
kwa sqm 10.4
- Mifuko ya saruji: Takriban 3
- Karai za kokoto: Takriban 13
- Stipi: Takriban 6
- Rangi: Takriban 0.7kg
Mambo ya Ziada
- Branding skirting na branding floor zinamuhusu fundi.
- Kupiga polish ni hiari.
- Maua: Ikiwa yanahitajika, gharama zake ni nje ya makubaliano haya.
Bei ya Kazi kwa Kila Square Meter (sqm)Unachaji bei gani Kwa square meter??
Gharama za Vifaa kwa Ujenzi wa TarazoI wish ungeweka na gharama za vifaa ....
Gharama ya jumla inategemea ukubwa wa eneo unalotaka kujenga (sqm ngapi). Ikiwa unajua ukubwa wa eneo lako, naweza kukadiria vifaa unavyohitaji na gharama yake.
- Mfuko wa saruji β TZS 17,000
- Mfuko wa kokoto β TZS 4,000
- Stipi moja β TZS 1,500
Imezidi kuboreshwa kutokana na mudaHii tecknolojia mpya au ni ile ya zamani inarudi tena?
Kwa hiyo hapa ni ufundi tu bila Materials, au??Bei ya Kazi kwa Kila Square Meter (sqm)
Gharama hii inajumuisha kazi zifuatazo:
- Dar es Salaam: TZS 10,000 kwa sqm
- Mikoani: TZS 14,000 kwa sqm
β Kupiga floor
β Kujenga stipi
β Kumwaga na ku-grind jamvi
β Kumwaga na ku-grind border
β Kuweka skirting
β‘ Gharama hii ni kwa kazi ya msingi. Ikiwa kuna mahitaji ya ziada kama maua au mapambo mengine, gharama zake zitajadiliwa tofauti.
NdioKwa hiyo hapa ni ufundi tu bila Materials, au??