Huduma zilizokuwa zinatolewa kwenye viwanja vya SabaSaba ziendelee hivyo hivyo

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi.

Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa huduma bora vilevile kama mlivyokua mkielezea wakati wa SabaSaba.
 
Pole Dada
 
ile ilikuwa ni honeymoon,ndoa inasura nyengine kabisa..😂
 
Back
Top Bottom