Unaunda tume,hebu fikiri mimi nimefanya kazi miaka6 sasa sijapanda daraja na kila mara nafuatilia kwenye ofisi za TSD bila mafanikio ninacho ambiwa serikali haina pesa hivyo waalimu wanapandishwa vyeo kwa awamu. Kumbuka kupanda daraja ni haki na si zawadi sasa niende darasani au nikafanye dili zingine. Uamuzi wangu kazi siachi ila mshahara ntaendelea kula na vipindi napunuza kufanana na posho ninayoipata kwa sasa,mpaka pale ntakapopata haki yangu, si mimi tu najua wengine wapo.