Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Heri ya Xmas
Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk
Cha ajabu jamaa mara nyingi huonenaka amepiga vyombo na hata mwonekano wake huwa rafu sana lakini anachoongea hakuna mtu aliwahi kuja kukanusha iwe kuanzia ishu za mashoga siasa uchumi hakuna wa kumpinga
DUDU BAYA na akaitisha press ni rahisi Dudu Baya kutikisha nchi kumbuka DUDU BAYA haitaji maandalizi yoyote hata ukimkuta bar yeye akisema hakuna kiumbe amewahi kumchallange mimi nadhani serikali hususani BASATA wangemchukua jamaa awe mtetezi wa wasanii maana jamaa Huwa hafichi kitu .