Tetesi: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

Kwahiyo leo ndiyo mnamuona Lema kuwa mwadilifu! Siku zote si huwa mnamsema vibaya?
 
Hakitasajiliwa, nipo nimekaa paleeee
 
Nimefika kwa Heche, nikaishia hapo
 
Tatizo ni kuwa "chama kipo mfukoni" inatakiwa mtu aingize mkono mfukoni, tena wa kulia, ili kukichomoa hicho chama. Kazi ipo! Nani atakubali uingize mkono mfukoni kwake?
 
Hata bure siwezi kujiunga na chama anaongoza lissu. Kitakua chama cha kukubali ushoga na kila wanachoamini wamagharibi.
 
Hata bure siwezi kujiunga na chama anaongoza lissu. Kitakua chama cha kukubali ushoga na kila wanachoamini wamagharibi.
We mshamn kweli ,hivi hujui kuwa Serikali Yako inaukaubali ushoga aununasubiri mpaka watunge Sheria ndio.uamini! Mashogaa Ndio wanapisaieia Serikali ya Tanzania kwakiwango kikubwa husasni sekta ya Afya! Tangu miaka ya 2000!
Na serikali inajia ila.imekula Jiwe!
 
CHADEMA ndio chama Cha upinzani kinachomiliki mwenyekiti mmoja

Hizi ndoto za fitina dhidi ya mwenyekiti wetu wa CHADEMA taifa hazitafanikiwa kamwe.

CCM wenyewe wametusaidia sisi wana CHADEMA kumuamini mwenyekiti wetu


16 September 2021

Kesi namba 16 / 2021 ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi : Watuhumiwa Freeman Mbowe na wenzie 3

Hali ilivyokuwa mahakama kuu Leo 16 September 2021 jijini Dar es Salaam. Shauri la kesi namba 16 / 2021 ya Uhumuju Uchumi


Kesi ya ugaidi iliyotungwa na utawala wa CCM imemjenga na kumuimarisha zaidi na zaidi Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe mbele ya macho na mioyoni mwa wanachama wa CHADEMA pia wapenda mabadiliko wote Tanzania


Kesi ya Freeman Mbowe inashabiana na kesi ya maarufu ya Nelson Mandela iliyojulikana kama kesi ya Rivonia

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa


Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.




Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​

The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarit
 
Tukubali kusambaratika kwa CDM ni pesa ya CCM inafanya kazi na sio mtafaruku wa viongozi wenyewe kwa wenyewe.
Kitendo cha COVID 19 kubaki bungeni mpaka sasa CDM watakuwa wamevuta cha nguvu kutoka CCM (Sina uhakika ni hisia tu). Rushwa chaguzi za ndani ya CDM ni pesa ya CCM na kamati kuu ya CDM kimyaaa. Wanacham na wananchi tuwaeleweje CDM? Msimamao wa CDM kuhusu haya ni nini? Uchaguzi waja haya makandokando tutaenda nayo katika uchaguzi?
 
CCM wakumbuke

TOKA MAKTABA:

Freeman Mbowe ni Fidel Castro wetu

MaKamanda wa kweli wasiochoka wapo CHADEMA, na Freeman Mbowe ataifanya Tanzania kuwa Mpya mithili ya waliyofanya kina Nelson Mandela, Fidel Castro n.k kwa nchi zao


Fidel Castro huku machozi yakimlengalenga anafunguka - "Nasema ktk uwanja wa mapambano ya mabadiliko mitaro (vizingiti) ya katiba mpya, mitaro ya fikra huru, mitaro ya mapinduzi ni migumu mara elfu kuliko mitaro ya rushwa, ukandamizaji, kubambikia kesi, kutumia dola vibaya dhidi ya wanamapinduzi wanamabadiliko anasema Fidel Castro shujaa wa Cuba ....

Bado muda utaongea na tutamuona Mwenyekiti Freeman Mbowe akiwa huru, kuendelea kuongoza mapambano huku amevalia magwanda ya chama ambayo tumezoea kumuona akiongoza mapambano halali kisheria kutetea Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Viva la Revoluciòn ! Viva CHADEMA ! Mpaka Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu yataposilibiwa ndani ya Katiba Mpya.
 
Ndoto za mchana
 
Ndoto za mchana.
 
Mchakato wa kusimamisha chama sio jambo la kitoto. Kuna mambo mengi saana.kwanza wakianza mchakato wa usajili Sasa hivi hawewezi kuwahi uchaguzi
 
Propaganda za Lumumba .... unajitahidi sana but not convincing ....!!
Propaganda za hovyo sana.
Mjukuu wangu kanipigia simu na kuniuliza kuwa eti ni kweli uncle Lissu anaanzisha chama,nikamuambia si kweli,ujinga huo umeutoa wapi,kaniambia JF.
Mjukuu wangu yupo grade 6.
 
Kitambo makamu wa Rais Samia Hassan alikiri kuwa:

Katika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.

Ni matumaini yetu makubwa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, mawasilisho haya ya CHADEMA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge atayafanyia kazi kubadilisha miswada hii. Kwani wasilisho la CHADEMA linakwenda sawia na zile 4R , sheria za haki na katiba mpya inayokubalika kuwa ni ya usawa kwa wote bila kujali vyama.

Toka Maktaba :

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....


View: https://m.youtube.com/watch?v=gb3MPZNXdt4
Video toka maktaba, Mh. makamu wa Rais na mwanachama wa CCM Dr. Samia Hassan akionesha kuwakubali wapinzani wenye hoja.
 
Hii nchi imefika hatua sasa hatutakiwi tena kuongoza na CCM kwa sababu wameshaona nchi ni yao wanaimiliki hivyo hawafanyi tena vitu kwa uadilifu na zaidi pia ni ili kuleta usawa kisiasa. Na kwa vile Chadema pia hawako tayari kuongoza kutokana na mienendo yao, Zitto kabwe na ACT ndo chaguo sahihi kwa 100% kukabidhiwa nchi
 
Oya wapiga ramli mnaigopa sana hii CDM na intelejensia yao kali habari hazivuji mnabet tu mnajua wanenda kuchukua dola mchana kweupe kwa mikakati waliokua nayo hadi ku hanbanyikiwa kwenu kwakusema wanamisuguano hii imeeendaaaaaaa safari hii sisiemu mnatema bungo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…