Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Yaani kwenye changamoto kama hizi ndio utaona utofauti wa viwango vya akili vya watu Toka Corona iingie ukifuatilia Ile combating reactions huko social media kati ya mataifa jirani na Tanzania utaona lipo ombwe kubwa kichizi kati ya Tanzania na mataifa jirani Watanzania walianza kubuni fasta vifaa vya kunawia, local ventilators, remedies, mambo ya kujifukiza etc
Mpaka sasa zipo zaidi ya remedies 20 watanzania wametengeneza kila zipo NIMR na nyingine NIMR
wameshazipitisha zinatumika Upande wa pili kuanzia viongozi wa serikali mpaka wananchi wa kawaida wamekaa kichawi chawi tu, wapo busy kuipakazia Tanzania na kuichafua akili zao za kuku zimezima kabisa hata kujaribu kutengeneza chochote mfanano wa dawa ya Corona
Tuwasamehe sababu tunajua they have chickens heads, au pumpkins wamejiseti tu kumtegemea mzungu kwa kila kitu na ndio maana wana ardhi lakini wanakufa kwa njaa ila mzungu analima maua na Chai na kutengeneza profits, sio kosa lao bali mfumo uliowakuza
Tumshukuru Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kutuletea falsafa ya ujamaa na kujitegemea, point kubwa hapa ni kujitegemea
Tanzania tumekua na akili ya kufight our bettles on our own na ndio maana kuna watu Wanamshangaa Magufuli kwanini anaendesha mambo yake kivyake Vita ya Uganda tulijaribu kushirikisha dunia na Africa lakini Hakuna aliekua upande wetu, so toka kipindi hicho Tunapenda zaidi kufanya kivyetu, Nyerere alitamani Africa iwe moja na kuunganisha nchi za ukanda huu lakini walikataa so toka kipindi hicho Tanzania tupo kivyetu
Juzi Magufuli kashauri kitu cha maana sana kuhusu mikopo ya WB na IMF lakini ndo kwanza waka-sign mikopo badala kuwa na kauli moja kuishinikiza IMF na WB kuondoa riba na kupunguza marejesho katika wakati huu
Nashukuru zaidi ya wabunge wenye akili 80 huko ulaya na Marekani wamemuunga Magufuli mkono kwenye hili
Tuachane na hayo tuje kwenye dawa, haijalishi kama itakuja kukubaliwa na mabeberu au vipi lakini hii ni gesture nzuri sana sisi kama Taifa kujitegemea na kujiamini kwamba tunaweza, kijana mdogo huyu akiwa na mawazo ya Mwl. Nyerere anaweza kututoa watanzania kimasomaso
Tumpe ushirikiano