Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

Kuna watu wako makini kuchunguza mambo, nyie! Wangekuwa makini hivyo kuwawajibisha wala-rushwa na mafisadi, hakika Tanzania ingeshakuwa dona kantre.
 
Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma?

*Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
Wewe mkuu ni takataka kabisa! Unataka makao makuu ya serikali kusiwe vi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…