Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Kwahiyo hiki ndicho kinakufanya useme hakuna mwisho wa dunia wala watu kuchomwa moto?Ndiyo maana hata ukiangalia mfano Tanzania hii historia yake ni ya ndani ya hii miaka 2000+ na si chini ya hapo. Kama tunaambiwa sensa ya baada ya uhuru yaani 1961 ilikadiriwa kuwa nchi yetu ilikuwa na watu milioni tisa tu, tujiulize mwaka 1200 hii nchi ilikuwa na idadi gani ya watu na tulienda mpaka mwaka 800 huenda nchi haikuwa na mtu hata mmoja je walienda wapi, ndo mtazamo wangu unapochukuwa nafasi kuwa tuliangamizwa tukaanza kuijaza dunia upya. Hata haya magaharika ya kina Nuhu au hizi Sodoma na Gomora nadhani ilikuwa ni katika kuifanya dunia au ulimwengu kwa ujumla uanze upya.
ipi hatari ya mwanadamu kutambua mahali MUNGU alipo ?Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha kwa maana ya moto wa milele na wale wateule wataingia kwenye paradiso kwenye raha za kila aina wakila matunda na kumwimbia muumba yaani Mungu milele yote.
Binafsi naamini Mungu yupo hata kama si kwa jina Hilo maana haya tunayoyaona ni ngumu Sana kutokea tu bila kuwa na source ndiyo maana hata katika ulimwengu huu wa teknolojia hakuna kinachotokea tu bila mtu fulani au kikundi fulani kulianzisha anzia kwenye abacus mpaka leo tupo kwenye smartphones hizi zote Kuna waliozianzisha na kuziendeleza hivyo hata huu ulimwengu kuna chanzo chake ambaye ni Mungu.
Kuhusu kuchomwa moto au kwenda mbinguni kwa baba siamini sana kwasababu mi mtazamo wangu naona kuwa hii dunia huwa Kuna wakati inaji phase out yaani kunatokea jambo au janga fulani linateketeza viumbe kwa viwango vikibwa na baadhi ya viumbe vichache vinabaki kama sample ya kuendelea kuzaliana na hata hizi teknolojia kwa kuwa watu wanakuwa wameangamizwa kwa viwango vikubwa navyo huwa vinapotea na baada ya muda Mungu huwa anaamua kutumia baadhi ya watu kuvumbua mambo kutetemeka uhitaji wa ulimwengu kwa kipindi hicho ndiyo maana tunawasoma kina Aristotle, Galileo Galilei, Isaac Newton, Copernicus, Blaise Pascal, Rutherford, Albert Einstein,na wengine wengi ambao nyakati zilipowahitaji Mungu aliwaleta.
Ndiyo maana hata ukiangalia mfano Tanzania hii historia yake ni ya ndani ya hii miaka 2000+ na si chini ya hapo. Kama tunaambiwa sensa ya baada ya uhuru yaani 1961 ilikadiriwa kuwa nchi yetu ilikuwa na watu milioni tisa tu, tujiulize mwaka 1200 hii nchi ilikuwa na idadi gani ya watu na tulienda mpaka mwaka 800 huenda nchi haikuwa na mtu hata mmoja je walienda wapi, ndo mtazamo wangu unapochukuwa nafasi kuwa tuliangamizwa tukaanza kuijaza dunia upya. Hata haya magaharika ya kina Nuhu au hizi Sodoma na Gomora nadhani ilikuwa ni katika kuifanya dunia au ulimwengu kwa ujumla uanze upya.
Na hata sasa nionavyo Mimi hatuna miaka mingi sana ulimwengu utakuja kuanza upya maana ni kama mahitaji yameanza kutuzidi kwa mfano uhitaji tu wa vyakula umekuwa mkubwa kiasi kwamba tumeanza kula vyakula ambavyo vinalazimika kuwa generated kama GMO nk. Lakini pia hata teknolojia inazidi kuwa kubwa kiasi kwamba ikiendelea hivi ipo siku watu watajua Mungu huwa anakaa wapi angalia mambo makubwa ambayo sayansi inayoyafanya kwasasa na uvumbuzi mkubwa tunaoushuhudia kila uchwao. Kwa maana nyingine huku ndiko kujenga mnara wa kumfikia Mungu kitu ambacho hakitaki. Naamini kabla ya dunia kufikisha idadi ya watu billioni 20+ Mungu ataamua ianze upya watabaki watu wachache na viumbe vingine vichache kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Kwahiyo mi naona tuache kutishana juu ya kuchomwa moto angalia huko angani hayo yote uyaonayo Yana nafasi kubwa sana Mungu hawezi kukuumba Kisha akuchome anaweza kukuhamishia popote kwenye hizo terrestrial bodies tuishini tu kwah kupendana na kuthaminiana.
Ahsante!!!!
NaamKwahiyo hiki ndicho kinakufanya useme hakuna mwisho wa dunia wala watu kuchomwa moto?
Kuchomwa moto ni janja ya wazungu ili upokee imani yao. Hakuna Mungu anaechoma watu wake.Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha kwa maana ya moto wa milele na wale wateule wataingia kwenye paradiso kwenye raha za kila aina wakila matunda na kumwimbia muumba yaani Mungu milele yote.
Binafsi naamini Mungu yupo hata kama si kwa jina Hilo maana haya tunayoyaona ni ngumu Sana kutokea tu bila kuwa na source ndiyo maana hata katika ulimwengu huu wa teknolojia hakuna kinachotokea tu bila mtu fulani au kikundi fulani kulianzisha anzia kwenye abacus mpaka leo tupo kwenye smartphones hizi zote Kuna waliozianzisha na kuziendeleza hivyo hata huu ulimwengu kuna chanzo chake ambaye ni Mungu.
Kuhusu kuchomwa moto au kwenda mbinguni kwa baba siamini sana kwasababu mi mtazamo wangu naona kuwa hii dunia huwa Kuna wakati inaji phase out yaani kunatokea jambo au janga fulani linateketeza viumbe kwa viwango vikibwa na baadhi ya viumbe vichache vinabaki kama sample ya kuendelea kuzaliana na hata hizi teknolojia kwa kuwa watu wanakuwa wameangamizwa kwa viwango vikubwa navyo huwa vinapotea na baada ya muda Mungu huwa anaamua kutumia baadhi ya watu kuvumbua mambo kutetemeka uhitaji wa ulimwengu kwa kipindi hicho ndiyo maana tunawasoma kina Aristotle, Galileo Galilei, Isaac Newton, Copernicus, Blaise Pascal, Rutherford, Albert Einstein,na wengine wengi ambao nyakati zilipowahitaji Mungu aliwaleta.
Ndiyo maana hata ukiangalia mfano Tanzania hii historia yake ni ya ndani ya hii miaka 2000+ na si chini ya hapo. Kama tunaambiwa sensa ya baada ya uhuru yaani 1961 ilikadiriwa kuwa nchi yetu ilikuwa na watu milioni tisa tu, tujiulize mwaka 1200 hii nchi ilikuwa na idadi gani ya watu na tulienda mpaka mwaka 800 huenda nchi haikuwa na mtu hata mmoja je walienda wapi, ndo mtazamo wangu unapochukuwa nafasi kuwa tuliangamizwa tukaanza kuijaza dunia upya. Hata haya magaharika ya kina Nuhu au hizi Sodoma na Gomora nadhani ilikuwa ni katika kuifanya dunia au ulimwengu kwa ujumla uanze upya.
Na hata sasa nionavyo Mimi hatuna miaka mingi sana ulimwengu utakuja kuanza upya maana ni kama mahitaji yameanza kutuzidi kwa mfano uhitaji tu wa vyakula umekuwa mkubwa kiasi kwamba tumeanza kula vyakula ambavyo vinalazimika kuwa generated kama GMO nk. Lakini pia hata teknolojia inazidi kuwa kubwa kiasi kwamba ikiendelea hivi ipo siku watu watajua Mungu huwa anakaa wapi angalia mambo makubwa ambayo sayansi inayoyafanya kwasasa na uvumbuzi mkubwa tunaoushuhudia kila uchwao. Kwa maana nyingine huku ndiko kujenga mnara wa kumfikia Mungu kitu ambacho hakitaki. Naamini kabla ya dunia kufikisha idadi ya watu billioni 20+ Mungu ataamua ianze upya watabaki watu wachache na viumbe vingine vichache kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Kwahiyo mi naona tuache kutishana juu ya kuchomwa moto angalia huko angani hayo yote uyaonayo Yana nafasi kubwa sana Mungu hawezi kukuumba Kisha akuchome anaweza kukuhamishia popote kwenye hizo terrestrial bodies tuishini tu kwa kupendana na kuthaminiana.
Ahsante!!!!
Uko sahihi mkuu. Hakuna mwisho wa Dunia ila Mungu yupo. Uko sahihi sana mkuu, umepiga mule mule. Hili andiko lako miaka 4,000 ijayo litakuja kuidhihirisha hii “kweli”. Mungu yupo na ndio muumba wa Mbingu na Nchi ila mwisho wa Dunia hakuna. Cha kuongezea tu ni kwamba hii dunia itakuja kuwa mahali patamu pa kuishi. Uovu na dhulma havitakuwepo kama ilivyo sala ya Baba yetu aliyoifunfisha Masihi kwa wanafunzi wake aliposema “mapenzi Yako yatimizwe, litakalo fanyika duniani kama mbinguni”Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha kwa maana ya moto wa milele na wale wateule wataingia kwenye paradiso kwenye raha za kila aina wakila matunda na kumwimbia muumba yaani Mungu milele yote.
Binafsi naamini Mungu yupo hata kama si kwa jina Hilo maana haya tunayoyaona ni ngumu Sana kutokea tu bila kuwa na source ndiyo maana hata katika ulimwengu huu wa teknolojia hakuna kinachotokea tu bila mtu fulani au kikundi fulani kulianzisha anzia kwenye abacus mpaka leo tupo kwenye smartphones hizi zote Kuna waliozianzisha na kuziendeleza hivyo hata huu ulimwengu kuna chanzo chake ambaye ni Mungu.
Kuhusu kuchomwa moto au kwenda mbinguni kwa baba siamini sana kwasababu mi mtazamo wangu naona kuwa hii dunia huwa Kuna wakati inaji phase out yaani kunatokea jambo au janga fulani linateketeza viumbe kwa viwango vikibwa na baadhi ya viumbe vichache vinabaki kama sample ya kuendelea kuzaliana na hata hizi teknolojia kwa kuwa watu wanakuwa wameangamizwa kwa viwango vikubwa navyo huwa vinapotea na baada ya muda Mungu huwa anaamua kutumia baadhi ya watu kuvumbua mambo kutetemeka uhitaji wa ulimwengu kwa kipindi hicho ndiyo maana tunawasoma kina Aristotle, Galileo Galilei, Isaac Newton, Copernicus, Blaise Pascal, Rutherford, Albert Einstein,na wengine wengi ambao nyakati zilipowahitaji Mungu aliwaleta.
Ndiyo maana hata ukiangalia mfano Tanzania hii historia yake ni ya ndani ya hii miaka 2000+ na si chini ya hapo. Kama tunaambiwa sensa ya baada ya uhuru yaani 1961 ilikadiriwa kuwa nchi yetu ilikuwa na watu milioni tisa tu, tujiulize mwaka 1200 hii nchi ilikuwa na idadi gani ya watu na tulienda mpaka mwaka 800 huenda nchi haikuwa na mtu hata mmoja je walienda wapi, ndo mtazamo wangu unapochukuwa nafasi kuwa tuliangamizwa tukaanza kuijaza dunia upya. Hata haya magaharika ya kina Nuhu au hizi Sodoma na Gomora nadhani ilikuwa ni katika kuifanya dunia au ulimwengu kwa ujumla uanze upya.
Na hata sasa nionavyo Mimi hatuna miaka mingi sana ulimwengu utakuja kuanza upya maana ni kama mahitaji yameanza kutuzidi kwa mfano uhitaji tu wa vyakula umekuwa mkubwa kiasi kwamba tumeanza kula vyakula ambavyo vinalazimika kuwa generated kama GMO nk. Lakini pia hata teknolojia inazidi kuwa kubwa kiasi kwamba ikiendelea hivi ipo siku watu watajua Mungu huwa anakaa wapi angalia mambo makubwa ambayo sayansi inayoyafanya kwasasa na uvumbuzi mkubwa tunaoushuhudia kila uchwao. Kwa maana nyingine huku ndiko kujenga mnara wa kumfikia Mungu kitu ambacho hakitaki. Naamini kabla ya dunia kufikisha idadi ya watu billioni 20+ Mungu ataamua ianze upya watabaki watu wachache na viumbe vingine vichache kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Kwahiyo mi naona tuache kutishana juu ya kuchomwa moto angalia huko angani hayo yote uyaonayo Yana nafasi kubwa sana Mungu hawezi kukuumba Kisha akuchome anaweza kukuhamishia popote kwenye hizo terrestrial bodies tuishini tu kwa kupendana na kuthaminiana.
Ahsante!!!!
Mtazano wangu ni kuwa, mwisho wa dunia ni pale mtu binafsi anapokata roho. Hivyo si jambo la umma. Jinsi utakavyokata roho, ndio inakuwa ama adhabu au raha yako nikimaanisha, ikitokea roho inakutoka kwa mahangaiko, mateso, ndio hayo mateso yanayoongelewa kama moto. Ukikata roho kwa utulivu, usingizini, wengine matembezini na ghafla kaanguka, kakata roho bila rabsha yeyote, ndio raha inayoongelewa. Sasa kama kutaabika au usingizi unaendelea huko roho inakopotelea, sina jibu.Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha kwa maana ya moto wa milele na wale wateule wataingia kwenye paradiso kwenye raha za kila aina wakila matunda na kumwimbia muumba yaani Mungu milele yote.
Binafsi naamini Mungu yupo hata kama si kwa jina Hilo maana haya tunayoyaona ni ngumu Sana kutokea tu bila kuwa na source ndiyo maana hata katika ulimwengu huu wa teknolojia hakuna kinachotokea tu bila mtu fulani au kikundi fulani kulianzisha anzia kwenye abacus mpaka leo tupo kwenye smartphones hizi zote Kuna waliozianzisha na kuziendeleza hivyo hata huu ulimwengu kuna chanzo chake ambaye ni Mungu.
Kuhusu kuchomwa moto au kwenda mbinguni kwa baba siamini sana kwasababu mi mtazamo wangu naona kuwa hii dunia huwa Kuna wakati inaji phase out yaani kunatokea jambo au janga fulani linateketeza viumbe kwa viwango vikibwa na baadhi ya viumbe vichache vinabaki kama sample ya kuendelea kuzaliana na hata hizi teknolojia kwa kuwa watu wanakuwa wameangamizwa kwa viwango vikubwa navyo huwa vinapotea na baada ya muda Mungu huwa anaamua kutumia baadhi ya watu kuvumbua mambo kutetemeka uhitaji wa ulimwengu kwa kipindi hicho ndiyo maana tunawasoma kina Aristotle, Galileo Galilei, Isaac Newton, Copernicus, Blaise Pascal, Rutherford, Albert Einstein,na wengine wengi ambao nyakati zilipowahitaji Mungu aliwaleta.
Ndiyo maana hata ukiangalia mfano Tanzania hii historia yake ni ya ndani ya hii miaka 2000+ na si chini ya hapo. Kama tunaambiwa sensa ya baada ya uhuru yaani 1961 ilikadiriwa kuwa nchi yetu ilikuwa na watu milioni tisa tu, tujiulize mwaka 1200 hii nchi ilikuwa na idadi gani ya watu na tulienda mpaka mwaka 800 huenda nchi haikuwa na mtu hata mmoja je walienda wapi, ndo mtazamo wangu unapochukuwa nafasi kuwa tuliangamizwa tukaanza kuijaza dunia upya. Hata haya magaharika ya kina Nuhu au hizi Sodoma na Gomora nadhani ilikuwa ni katika kuifanya dunia au ulimwengu kwa ujumla uanze upya.
Na hata sasa nionavyo Mimi hatuna miaka mingi sana ulimwengu utakuja kuanza upya maana ni kama mahitaji yameanza kutuzidi kwa mfano uhitaji tu wa vyakula umekuwa mkubwa kiasi kwamba tumeanza kula vyakula ambavyo vinalazimika kuwa generated kama GMO nk. Lakini pia hata teknolojia inazidi kuwa kubwa kiasi kwamba ikiendelea hivi ipo siku watu watajua Mungu huwa anakaa wapi angalia mambo makubwa ambayo sayansi inayoyafanya kwasasa na uvumbuzi mkubwa tunaoushuhudia kila uchwao. Kwa maana nyingine huku ndiko kujenga mnara wa kumfikia Mungu kitu ambacho hakitaki. Naamini kabla ya dunia kufikisha idadi ya watu billioni 20+ Mungu ataamua ianze upya watabaki watu wachache na viumbe vingine vichache kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Kwahiyo mi naona tuache kutishana juu ya kuchomwa moto angalia huko angani hayo yote uyaonayo Yana nafasi kubwa sana Mungu hawezi kukuumba Kisha akuchome anaweza kukuhamishia popote kwenye hizo terrestrial bodies tuishini tu kwa kupendana na kuthaminiana.
Ahsante!!!!
Kabisa maana mfano mzuri ni tunapokuwa tumelala huwa hatujui chochote, hujijui jina, hujui kama una familia, hujui kazi unayoifanya, hujui kama ni mtu yaani haujui kila kitu na huo ni usingizi tu so ukifa ndo hakuna chochote kabisa unachokijua Wala kukihisi. Tuishini kwa kupendana tu maana tunaishi mara moja tu hapa duniani.Ni fiction story tu, tunaishi mara moja tu