LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unaweza kujiuliza how comes Professor mzima anamuita mtoto wake jina " Mwisho" ilhali jina lenyewe laonekana kuwa limebeba maana ambayo si nzuri sana ( Laweza kuwa na maana nzuri pia kwamba Mwisho wa matatizo etc )
Katika Uyahudi jina " Mwisho " maana yake ni Mungu wa Wayahudi yaani Yehova... ( Mungu wa Wayahudi ana majina mengi sana Mwisho ni moja kati ya majina yake )
Jina Mwisho katika lugha ya kiebrania ni " Omega" .
Mungu wa Wayahudi anasema " Mimi ni Alpha na Omega " yaani " Mimi ni Mwanzo na Mwisho"
Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana Mzee Mwampamba wakati anamuita mtoto wake jina Mwisho alimaanisha Omega Yani Mungu.
Huwa nawashangaaga sana Ndugu zangu Wakristo jinsi wanavyo jichanganya kiimani
Unakutana na MTU anae ji identify kama Mkristo akisema " Sasa hivi tupo nyakati za mwisho na.nyakati za mwisho hizi ndio nyakati za shetani'
Com on bro...Nyakati za mwisho ndio nyakati za Mungu kwa sababu Mungu ni Mwanzo na Mwisho.
Kwa hiyo kwa mujibu wa Biblia sasa hivi tupo wakati wa Mungu na sio wakati wa Shetani...