Huenda kauli ya Spika Tulia ikawa imetupa Jibu kwanini Mama wa Nje Juzi alitumbuliwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Yoyote atakayemsema vibaya Mheshimiwa Rais Samia popote pale na kwa namna yoyote ile hatutoweza Kumuacha na tutapambana nae" Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu Ackson.

GENTAMYCINE natamani sana na mno kujua Mama wa Nje alipokutana na kupiga Picha ya pamoja na Namba Moja na Mbili wa Marekani alisema (alizungumza) dhidi ya Boss Mama.

Isije ikawa Mama wa Nje na Dharau zake za Kwao 'Home of Banana' labda aliwaambia aliopiga nao Picha kuwa fulani (She/ He) ni Nothing and very Incompetent hivyo wakakataa Kuidhinisha Hela ya Misaada kuja wakihisi itaenda tu Kupotea.
 
1664769267492.png
 
probably
 
Back
Top Bottom