Huenda Kimbunga ' John ' kikaikumba Tanzania October 25 mwaka 2020 hivyo Watanzania tujiandae nacho

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Maeneo yatakayoathirika ni nchi nzima ila hasa hasa itakuwa ni Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mara, Mbeya, Iringa, Morogoro na Dar es Salaam na Kitaanza tarehe 25 Asubuhi na Kumalizika Siku hiyo hiyo Usiku wa Saa 5 na dakika 59. Ila pamoja na Kupiga huko hicho Kimbunga ' John ' kitaacha madhara makubwa na Simulizi zaidi maeneo ya Hai, Arusha Mjini, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Tarime na Kawe.

Si vibaya tukianza Kuchukua ' tahadhari ' nacho mapema hiki Kimbunga ' John ' kwani kwa mwakani kitakuwa hakina mzaha.

Nawasilisha.
 
Maeneo yatakayoathirika ni nchi nzima ila hasa hasa itakuwa ni Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Morogoro na Dar es Salaam na Kitaanza tarehe 25 Asubuhi na Kumalizika Siku hiyo hiyo Usiku wa Saa 5 na dakika 59.

Nawasilisha.
Ah ah ah ah
Watu mna manenoóo
 
Hiki kimbunga sio cha kuchekea kabisa.kinakufyekelea mbali ukipatikana tayari u marehemu
Tujihadhari
 
Kimbunga sio cha kuomba lakini wanajeshi tunao watatusaidia kwa watakaopatwa na maafa
 
Mtu mzima hatishiwi nyau. Kuna kausemi flani kakichaga kanasema "kinareenge kyendesembaa kikawuya kiikisembe" tafsiri yenye nguo "kitorondo alikuwa akienda kutafuna mzigo akarudi katafunwa yeye" kitorondo ni kindege flani kidogo chekundu rangi yake au brown.
Uchaguzi mkuu Geshi la policcm huwa linazidiwa nguvu maani ni nchi nzima hawana uwezo wa kumiliki kwa kusimamia kila eneo la uchaguzi.
Haya matisho pia ni sehemu ya hofu na uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…