Huenda kuna watu wanampotosha Rais kwa makusudi aonekane mbaya kwa jamii

Huenda kuna watu wanampotosha Rais kwa makusudi aonekane mbaya kwa jamii

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma.

Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza

Rais: Enheeeh wanasema kwa nini wamegoma?

Wajumbe: Hata tunajua basi? wamejikuta tu wamegoma.

Rais: Haya

Wajumbe: Mama unaupiga mwingi sana.

Rais: 😁 Haya endeleeni na mishe mishe zenu.

Wajumbe: Mama mitano tena 🙏🙏🙏🙏😁😁😁😘😘😘😘
 
"Mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, mtu huyo anakudharau..."
Mwl. JKN
 
Back
Top Bottom