Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma.
Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza
Rais: Enheeeh wanasema kwa nini wamegoma?
Wajumbe: Hata tunajua basi? wamejikuta tu wamegoma.
Rais: Haya
Wajumbe: Mama unaupiga mwingi sana.
Rais: π Haya endeleeni na mishe mishe zenu.
Wajumbe: Mama mitano tena πππππππππππ