Huenda kweli Ally Salim anawapiga ndumba wenzake

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo kwako.

Nimeandika tu huvyo msitoe povu
 
Aisee!
 
Lile goli kipa yeyote anafungwa. Wala sio misumari
 
Does Ally deliver kiwango? Kama ndiyo hayo mambo ya uchawi hakuna, hilo likipa la jana ni livivu.
 
Niliwahi kukaa na wazee wa mjini wanaoujua mpira wa uwanjani na nje ya uwanja sku moja tunapiga kahawa ,wanakwambia BOKO ndo mnyama pale msimbaz kwa upande wa forward,foadi yoyote atakaekuja lazima majeraha yamlime sana,ad upotee refer phili,mgalu,kifaru Cha kinyarwanda

Nimefananisha story Yako na wazee wa mjini huenda kunaukweli

Ikumbukwe,maisha ya kusaka ugali kwa ushindani wowote tunguli hua lazima zihusike
 
Ila Boko angeomba apumzike sasa apambane malori yake....mpira imetosha
 
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo kwako.

Nimeandika tu huvyo msitoe povu
Acha ushabiki mandazi wewe. Ubovu wa kipa uko wapi? Kwakuwa kafungwa? Uliona michomo aliyoiokoa? Au unajifanya hujui kuwa ile timu ilikuwa bora hasa kipindi cha kwanza? Ninyi ndio mnaokatisha tamaa watu wanaowekeza katika soka. Unawezaje kutoa hitimisho la ubora kwa mechi moja tu?
 
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo kwako.

Nimeandika tu huvyo msitoe povu
Yaweza kuwa
 
Niliwahi kukaa na wazee wa mjini wanaoujua mpira wa uwanjani na nje ya uwanja sku moja tunapiga kahawa ,wanakwambia BOKO ndo mnyama pale msimbaz kwa upande wa forward,foadi yoyote atakaekuja lazima majeraha yamlime sana,ad upotee refer phili,mgalu,kifaru Cha kinyarwanda

Nimefananisha story Yako na wazee wa mjini huenda kunaukweli

Ikumbukwe,maisha ya kusaka ugali kwa ushindani wowote tunguli hua lazima zihusike
Akili za kula ugali wa mahindi yaliyokobolewa
 
Hebu tutoleeni ushirikina wenu kwny timu yetu..mnafanya watu waanze kuwaza mawazo hasi kumbe kwa sbb ya maneno yenu...
 
Back
Top Bottom