The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa miundo mbinu.
Mkuu wa mamlaka wa hali ya hewa uingereza Sergey Shirima ametahadharisha kuna uwezekano mvua hizi zikaendelea hadi mwishoni wa mwezi wa tatu na kuleta maafa na uharibifu mkubwa wa miundo mbinu.
Tayari athari za mvua zimeshajitokeza na mkuu wa kitengo cha maafa uingereza kimetoa tahadhari kwa wananchi hali itakuwa mbaya zaidi uingereza kufunikwa na maji.
Liverpool ambayo jana walinyukwa goli mojana Atletico Madrid round ya kwanza ya Champions league wanaongoza EPL kwa point 23. Kutokana na kuwa na bahati mbaya historia inaweza ikajirudia na kuwafanya wasiwe mabingwa. Ni kuwaombea tuhizi mvua zinazoendelea uingereza zipungue.