GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao.
Jana Jumanne Makomandoo wa Ihefu FC waliokuwa Wakiulinda Uwanja walionyeshwa Fedha ili Wawaruhusu Waganga na Wachawi Wao ( Waliofungwa Leo ) waingie lakini bado tu waliendelea Kudinda ( Kukataa ) hata 4pale walipoahidiwa Asante ya Shilingi Milioni 10 hivyo Waganga Wao wa Kienyeji kukubali Matokeo na kubakia Kuroga tu Kikawaida na kwa Kubahatisha.
Kudadadeki..... Asante sana Ihefu FC.