Huenda Mwigulu anakomaa kutete tozo ili Singida Big Stars iwe vizuri kimapato

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hii Singida big stars ina mkono wa mtu anayelazimisha tozo haramu kwa nguvu.

Huenda ni janja yake ili anunue wachezaji wa kibrazili timu nzima.
image_search_1662057419752.jpg
 
Nasikia benchi la ufundi Singapore Big Stars wanamleta Ronaldinho ili kuweka sawa bunduki zake zile tatu za kibrazil! Ni timu yetu pia, utopolo fc timu B! Makolo FC mtakoma kombe mtaliona kwenye picha, point zenu 12 tunazo, mkipona droo kwa Yanga mkienda Singapore (Singida) hamtoki!
 
Hivi hawa SBS walitumia skautingi gani kuwapata hao Wabrazili? Mana wanaupiga mwingi sana!
 
Nasikia benchi la ufundi Singapore Big Stars wanamleta Ronaldinho ili kuweka sawa bunduki zake zile tatu za kibrazil! Ni timu yetu pia, utopolo fc timu B! Makolo FC mtakoma kombe mtaliona kwenye picha, point zenu 12 tunazo, mkipona droo kwa Yanga mkienda Singapore (Singida) hamtoki!
Kombe kwenye picha,,,,ha haaa
 
Back
Top Bottom