Huenda ni kweli yanayosemwa juu ya FEI

Huenda ni kweli yanayosemwa juu ya FEI

Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI.

NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
Ile penati iliyodangwa na golikipa "mlingoti wa goli" ndo imekushawishi kuamini hivyo?? Na vipi ile eti eti ya kwamba mkataba kati ya Azam na Yanga ni kwamba wakitaka wakamuuze kokote lakini siyo kwa NGURUWE FC??
 
Vipi Kakolanya naye alipotoweka kabla ya mechi naye kituo chake ni hapo jangwani!!?

Pole kwa kuliwa na mhindi mkuu
Yanga wangeachana na mshery au metacha wamchukue kakolanya, siku diarra akiumia muda mrefu tutadhalilika Sana
 
Mkishinda nyie basi aah yanga kiboko,akishinda simba,taarabu zinaanza.mpikie mmeo ugali ashibe akutie upunguze nyege
Vinywa vya mashabiki wa Simba vimejaa matusi tu. Hata mtaani ndio wanaoongoza kutukana. HAKIKA KIPAJI MNACHO
 
Back
Top Bottom