GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wivu tu.mbona baraka anafanya hivyohivyo Kama mpiga picha wetuKuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social Platforms mbalimbali, kwani nami najua vile vile na nimebobea kama vile mlivyoona leo huko Bondeni.
Nawasilisha.
Wivu tu.mbona baraka anafanya hivyohivyo Kama mpiga picha wetu
yani wabongo hata ukikooa tu inakuwa mada.ndo maana hata nchi za watu nawaogopa hile rohoo ya ? sijui inaisha lini.ukisikia kwa nini tanzania aina maendeleo hata waliopo nje ukisia anaongea kiswahili mkimbie kama nyoka
Kwa ufupi tu hapa unataka Kusema / Kutomboka nini labda Mkuu?
wewe malizia tu,ndio asili yetu.mada yako umefikisha
Kwahiyo una maanisha kwamba ' Mada ' hii ya ' Mwanamume GENTAMYCINE ' imekufikisha ' Kileleni ' Mkuu?
Weka picha mkuuKuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social Platforms mbalimbali, kwani nami najua vile vile na nimebobea kama vile mlivyoona leo huko Bondeni.
Nawasilisha.