Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tutarajie kutangaziwa sheria mpya za uchaguzi, sheria hizo zitatumika wakati wa kampeni ili kuwalinda wasioweza kupambana jukwaani.
Kulikoni uchaguzi ujao utungiwe sheria mpya, ni nani anatakiwa kulindwa wakati wote ni wanasiasa waliobobea na ni wagombea wa nafasi ya juu kabisa ambapo sisi wananchi tunatakiwa tuuone uwezo wao wenye kiwango cha juu kabisa bila kulindwa na anaoandaa nao uchaguzi.