Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Katika hali ya uoga watawala hujitengenezea sheria za kujilinda dhidi ya wabaya wao watawaliwa ambao wanasahau kuwa ndio waliowaweka madarakani!Wanamhofia Lissu akichaguliwa atakavyo msema bi Mkubwa Ili akijaribu tuu wamfungulie kesi kama zile za Magu na Sirro.
wanajua hawezi kutoboa huyu mwizi wa mali za ummaTutarajie kutangaziwa sheria mpya za uchaguzi, sheria hizo zitatumika wakati wa kampeni ili kuwalinda wasioweza kupambana jukwaani.
Kulikoni uchaguzi ujao utungiwe sheria mpya, ni nani anatakiwa kulindwa wakati wote ni wanasiasa waliobobea na ni wagombea wa nafasi ya juu kabisa ambapo sisi wananchi tunatakiwa tuuone uwezo wao wenye kiwango cha juu kabisa bila kulindwa na anaoandaa nao uchaguzi.
Huyu mama ni mbaya sn aseeKatika hali ya uoga watawala hujitengenezea sheria za kujilinda dhidi ya wabaya wao watawaliwa ambao wanasahau kuwa ndio waliowaweka madarakani!
Ukirithishwa madaraka unarithishwa na mikoba yote.Huyu mama ni mbaya sn asee
SureUkirithishwa madararaka unarithishwa na mikoba yote.
Na ndio utaratibu.Sure
Yap yapNa ndio utaratibu.