Huenda Vice President Dkt. Phillip Mpango alikuwa kwenye shambulizi la hatari, akafichwa mahali. Hii ndio maana ya "Alikuwa kwenye kazi maalumu"

Upepo Ule wa kijana haukua mzuri, Hadi KM kujiuzilu, yaezakuwa palikuwa na vitu vinaendelea tusovijua.

Mungu ni MWEMA kwakweli.
Wanamlinda na kumficha shetani makwapani mwao huku wakiwazomea na kuwasuta watu wema (wananchi) wanaompenda Vice president wao.

Ni bahati mbaya tu kuwa hata VP mwenyewe hauoni upendo huyu wa watu wake. Katekwa akili na shetani, kaingia maxima.

Shauri lake
 
Mkuu una maanisha could alikuwa under detention au house arrest, baada ya kuona kelele inaanza kuongezeka wakaona itakuwa kesi, wakamtoa kwa masharti na maelekezo maalam????

But Why under detention/arrest????
 
Mkuu hapana, kiongozi yeyote wa umma ni gazeti sio barua ya mapenzi!
 
Labda alikuwa kwenye matibabu ya operesheni ya Tezi Dube...
 
Labda alikuwa kwenye matibabu ya operesheni ya Tezi Dube...
Tezi dune wala siyo aibu au fedheha. Alitakiwa aseme tu. After all mfano ulishakuwa set na mzee wa Msoga Jakaya Kikwete alisemaga wazi kuwa jamaani eeh, naumwa tezi dune na nimefanyiwa operesheni huko Marekani.
 
Kazi maalam inaweza maanisha mambo mengi sana , kiufupi ni Chaka la kuficha ualisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…