Suwi hichi ni kiswahili fasaha kabisa cha pwani ya afrika mashariki unaulizwa 'unakalia wapi' ? wakimaanisha unaishi wapi, sasa labda hilo neno Kigogo ndio linaharibu maana.[/COLOR]Hahahahhahahahhh!! jamani humu mtu hata kama mtu una matatizo utayasahau tu.... mi nacheka saaaanaaa!!
Suport madam t,au labda ni ndugu yake kwani ni zambi kuwa na ndugu mganga,au labda ni baba yake mpz wa mama yake?kasafishe na ww nyota uimbe tukusikiaUmeshasema wanashea kabila na mama yake Dimond, labda walienda kumsalimia tu?
Uporoto1 unataka ahamie unakaa nyagwa?katika dunia na karne hii kuna watu wanaamini mambo ya kung'arisha nyota ? ulivyoongea inaonyesha nawe umeamini ujinga huu,kama kweli anaweza huyo mganga angeng'arisha zake na kuhama huko anakokalia Kigogo kwa nyuma.
Tena umkute mtu wa Tanga mwenye kiswahili chaTanga halafu anaishi Dsm umuulize aiseee chali yangu unakalia wapi wewe kisha akujibu nakalia Kigogo miye si ndiyo utapagawa na kuanza kumuangalia tokea juu mpaka chini.Suwi hichi ni kiswahili fasaha kabisa cha pwani ya afrika mashariki unaulizwa 'unakalia wapi' ? wakimaanisha unaishi wapi, sasa labda hilo neno Kigogo ndio linaharibu maana.
na wewe unajiita great thinker ****Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.