tupo wengi sana hatujawahi pata pm**** haujawahi pata pm kutoka kwa wadada was Jf huendi mbinguni..
Kweli mbinguni sitaenda mwaka 3 sijawah kuona pm ya mdada wa jf aiseee**** haujawahi pata pm kutoka kwa wadada was Jf huendi mbinguni..
πππππππππ Haya ngoja jf app yangu ikae sawaMimi mwenyewe sijapta pm ya mdada.
beingsingle ni pm nami niende mbinguni
Kama humkubali JIWE huendi mbinguniKama unazini huendi mbinguni
Kama unatenda dhambi huendi mbinguni
_______
...........Hapana mkuu unakosea,hakuna ilipoandikwa hii dhambi unatuchuria mwana siyo fresh.Kama umewahi kupiga nyeto huendi mbinguni!!