Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa.
Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1.
Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha mpya wa timu ya Taifa ya Ufaransa.
#sportsplanetupdates