S shago Member Joined Sep 3, 2017 Posts 50 Reaction score 47 Apr 13, 2022 #21 lorahshop said: yaan ni kweli kabisa mi nilianza kidogo sana tena kwa kutangaza vitu kutoka kwenye maduka ya watu ukiitaji nakununulia nakuuzia ila now naagiza mwenyeye, vijana tuache uvivu tupambane Click to expand... Ulikuwa unafanyaje unatumia njia gan mkuuu
lorahshop said: yaan ni kweli kabisa mi nilianza kidogo sana tena kwa kutangaza vitu kutoka kwenye maduka ya watu ukiitaji nakununulia nakuuzia ila now naagiza mwenyeye, vijana tuache uvivu tupambane Click to expand... Ulikuwa unafanyaje unatumia njia gan mkuuu