robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Huhitaji kuandika au kusema ndio uonekane mnyanyasaji au mdhalilishaji hata kusambaza maudhi ya kibaguzi kama hili.
Huu mfano nimetumia ili kuonyesha kiasi gani tunaangamiza nafsi nyingi bila kujua ni unyanyasaji.
Maudhui ya namna hii yanaumiza wengi kwa nini tusisimamie ukwli tukayapinga pamoja na memezi