Hujafa Haujaumbika:Story ya kusikitisha sana

Duuh na urembo wake wote ule saivi analala tuu kitandani?
 
duh!! alafu mwanamke alkuwa na kejeli balaa!! kweli hujafa hujaumbika...
 
Jamani haya misha duh yanii nmelia mpka kla mtu as nanishangaa cijui kwanini nmrefungua huu uzi
 

Uache tabia yako ya ku-copy vitu vya watu, story yenyewe umekopy kwenye muvie ya ''潭潢摲牥''

Huna hata haya tunga yako!
:lol: :lol: :lol:
 
Ama kwa hakika nimeamini ya watu vinaponza na hasa aliposema hakujua kama kuna mmiliki. Maskini weee macho juu yamemponza
 
Mambo adimu kama haya yanapatikana JF tuu!!! :lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Hii haina tofauti na kukuta watu wanacheka nawe ukaendeleza kicheko..hata hivyo wangemuombea tu pengine yasingemkuta hayo.
 
Dah nimelia sana sana ....kikubwa kumpigia number yake kumpa pole 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…