Hujafa hujaumbika

Hujafa hujaumbika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake.

Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana.

Huu usemi wa hujafa hujaumbika wahenga walitulia sana kuuleta
 
Hivi huwa mnapagawa na michezo ya siasa!..😀

Itakupa wakati mgumu kushindwa kuelewa swala dogo Kama hilo la kiuelewa!,hivi mkuu hujui swala la uhai sio jukumu letu..?
Alikuwa fit kushinda mwenzake ndio lakini haikumaanisha eti hawezi kufa!.. mengine haya mbona hayataki tafakuri kubwa.
 
We mzee huna kazi ya kufanya?

Kumbe mzee aliwaachia ujauzito watu wengi
 
Sarakasi.jpg
 
Kwenye siasa kubinuka sarakasi ni mambo ya kawaida tu.
 
Dunia haina mwenyewe sheikh, tenda wema ili kama kupa pepo basi ukapumzike kwa amani. Sasa hatujui jamaa yupo kwenye status gani maana aliacha kavuruga vibaya mno.
 
Mbona Lowasa mwenyewe hata alishasamehe na anapambana na maisha yake huko aliko isitoshe ilikuwa ni political battle nothing pesonal na ndio maana baada ya Uchaguzi hata walikuwa buddies nashangaa wewe bado uko obsessed wakati muhusika mwenyewe mkuu is fighting his own battles for his survival kama ni kweli unamjali hivyo Lowasa ungekuwa hapa kumuombea na si vinginevyo!
 
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo,uduni wa afya yake, jinsia yake

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom