Hujaolewa, je umshike yeyote, si kweli!


Nakubaliana na wewe, na hapo kwenye red ndiyo sababu kubwa ya wadada kuanza kutoka nje ya ndoa! Kisa? Anakuwa kaolewa na mtu asiyempenda na moyo wake haumfeel kabisa, I mean anakuwa kama vile kalazimishwa kuolewa. Ni jambo baya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…