Hujawahi kumtongoza, lakini.......................

Na mimi nilisoma hii kitu mahali. Kate ana akili sana. Ni role model kwa mabinti wa kileo. Maana wengine kwa kuwa ni prince wangekubali hata kuwa vimada yeye kasema no. Kama unataka kunifuja tu anza mbele. Safi sana aisee.

 
Ndio maana nilishasemaga siku nyingi hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wakiume. Mmeona? Wewe waweza ukawa huna ili wala lile kumbe mwenzio anakuchukulia kivingiine. Nimeshaona hata vyuoni. Kuna wadada/ wakaka walikuwa karibu sana na opposite sexes lakini most of the times walikuwa wanaoneana wivu kitu ambacho kilikuwa kinafanya jamii isielewe kama ni marafiki tu au wana do.

 
Kwanza ukiwa close na mwanaume ambaye huna mahusiano nae huoni kuwa unajizibia bahati. Maana walio serious kutangaza nia watajua mdada uko kwenye relationship. Shauriyenu mnaokuwa benet na opposite sexes kupita kiasi. Na ina maana wote hawakuwa na partners before? Maana muda wa kuwa na partner wako unatoa wapi kama kila saa uko na mtu mwingine? Kwa kweli sielewi labda wenye experience na urafiki wa hivyo watuhabarishe inakuwaje aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…