Hujisiakiaje wenye marafiki wa namna hii?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,639
Reaction score
519
Unamtambulisha mchumba/mke/mume wako kwa rafiki yako wa jinsia moja na wewe na kubadlilisha mawasiliano na huyo rafiki yako. Mara baada ya muda, rafiki yako anakuwa na mawasiliano mengi kwa mchumba/mke/mume wako kuliko wewe rafiki yake. Mara nyingine anampingia simu huyo mchumba/mke/mume wako ukiwa na naye na anamwambia kwamba hata mwenye yupo hapa. Unaongea na rafiki yako kupitia simu ya mchumba/mke/mume wako.

Huwa munajisikiaje nyie wenye wachumba/wake/waume?
 
watu wazima hatufanyi hivi nyie watoto hangaikeni nay hayo.
 
Siwezi kuwa na rafiki wa aina hiyo
 
1. Kwa nini rafiki awe namba ya mume/bf? Kwa shida ipi?
2. Hakuna limitation ulizoweka kati ya mume/mke na rafiki
3. Kama unajua marafiki zako au mwenza wako hajatulia kwa nini unaruhusu wabadilishane namba?
 
Tatizo ni kutojuwa nani awe rafiki yako. Jifunze kuchagua rafiki mwenye tabia uzipendazo.
 

So hapo unamaanisha mwenye mali nae anakuwa aware kuwa rafiki yake anawasiliana na mume/mke wake....huyo mwenye mali atakuwa ***** kwa kweli!! Mchezo gani huoo....urafiki wa mawasiliano na shemeji tena ya mara kwa mara# Nonsense...
 
sema we unajisikiaje mana imekutokea
 

kwakweli mimi nitakupa live tuuuu...! kwamba asee acha kuwasiliana na demu wangu kama vipi asee urafiki kati yangu nyie wote wawili utakoma namaanisha demu na mchizi wangu... pumbaf siwezi kufuga fikira za maumivu ya kishenzi hivyo,,....!
 
He kumbe wengi mpo kama my boy,kwani kuna tatizo gani mi kuwasiliana na rafiki yako?kwa kweli kama kuna m2 anakereka kwa hili mi naona ni wivu na kutojiamini,chako ni chako 2,na hi inaonyesha wazi humuamini mwenzio,i see no prob,na kwa nini unichagulie nani wakuwasiliana nae?labda kama unaniwekea crdt lakini kwa hela yangu,u real hav to mind your business as long as its not a sexual relation im cool,
 
Ukiona yanatokea kwa wwatu wazima ujue hao ni watu wazima by volume and quantinty not by quality

hua mnafanyaje manake naona haya hua yanatokea sana kwa watu wazima....!
 
hii inaitwa SOGEA TUKAE STYLE na mwisho wake wewe mwenye kiti unasukumwa nje na uliemkaribisha anakalia kiti
 
Hiyo mara nyingi ni kwa watotowatoto ki ma penzi. Wenyendoa hawanaga tabia hizo. Hata kama una namba ya rafiki wa mume mke wako hauthubutu kupigapiga hovyo ki hivyo kwani nyumbani patakuwa pa moto na hata chakula ya usiku hamtokula vizuri!.
 
hiki kitu cha rafiki rafiki lazima ulizwe tu!nimefikia wakati ninapendelea urafiki wa remote, yani tusiwe karibu saaana,maana nilikuwa napenda urafiki uwe kama undugu nilikoma mi mwenyewe,ukaribu mwingine ukizidi lazima mmoja aumie iwe ni mahusiano,pesa,au mambo mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…