Mahojiano na PB yalikuwa ni aibu tupu kwa mwerevu yoyote aliyesikiliza, hakuna maswali yanayomgusa Mtanzania wa chini yalioulizwa, mengi yalikuwa yanaongelewa ni mambo ya Kusadikika: Nadhani mnakumbuka kile kitabu cha KUSADIKIKA. maswali yote yanaonyesha yaliandaliwa, waandishi wenyewe Gerald na Babra walikuwa wanatetemeka sana as if sio proffessionals. Yaani kwa utashi na uwezo hakika huyu ndugu yetu Mkwere bado sana. Watanzania mmewekewa mbele yenu Glasi na Almasi, chaguo ni lenu.