Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:
"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"
Najiuliza ni kweli kwamba lilikuwa ni tatizo lakiufundi au ni la "kiufundi" ?
Au wameosoma comment za wana JF wakaogopa kuwa biashara yao iko under threat?
Hata mi natuma naona hakuna lolote. Ina maana hawakuingia mkataba na CHADEMA? kama ndiyo, then hawawezi kushtakiwa?
Hao Vodacom wanachezea shilingi ******,ni kususia kutumia huduma zao na kuzipeleka katika mitandao mingine.Samahani tu haitoshi,maadamu wamekili walipe CHADEMA gharama za usumbufu.
Mkuu huduma haijafunguliwa hii imekaa hivi
Ukituma msg ya kuchangia unapata jibu "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wako tena. Ahsante"
Ukutuma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"
ukituma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"
Ndo hujuma inayofanywa na VODACOM
Mugo"The Great";1063085 said:Siyo wanaihujumu CHADEMA bali wanatumia opportunity hii kutengeneza fedha manake wamegundua kuwa watu walio tayari kuichangia CHADEMA ni wengi. Hivyo kama kila mtu atajaribu mara tu bila mafanikio wao pesa itakuwa imeingia tayari.
Wakti huo huo wanjaribu kuwakatisha tamaa Wachangiaji? SUla ni muhimu ni Kuisusia VODACOM isyo tu katika utumaji wa michango hata kwenye mawasiliano ya kawaida.
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:
"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"
Najiuliza ni kweli kwamba lilikuwa ni tatizo lakiufundi au ni la "kiufundi" ?
Au wameosoma comment za wana JF wakaogopa kuwa biashara yao iko under threat?
Nawahurumia ninyi mlio na line ya voda
mKUU VODACOM NI RA unategemea nini
Mkuu kama unatumia line ya voda watch out...............