Hujuma nyingine nzito dhidi ya ya JF?

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530

Jamani, tangu jana najaribu ku-access JF lakini bila mafanikio na badala yake inakuja hicho hapo juu. Leo nimefanikiwa kuipata kupitia njia ya porini hadi kwa Mwanakijiji na sijui kama itawafikia Mods na Wan JF. Please help.
 
Mods hawakutoa taarifa kabla mkuu...

Things are okay na sasa hivi tuko huru ndani ya JF.

Pole mkuu hata mimi jana nilikuwa shocked vibaya..
 
Naomba Wahusika Waanzishe Nyingine Ya Spea Maana Kama Hii Ishaanza Kufuatiliwa Sana, Kwa Hiyo Tusishangae Hao Walio Na Madaraka Siku Tu Mtu Kanywa Mvinyo Wake Kafurahi Mara "funga Kabisa Hii"
 
Siku izi I can hardly access JF sijui ndo subotage au?
Ila si la kushangaa sana as Tz waovu ni wengi kuliko wema I mean tuko na mafisadi wengi such that mambo yao kuanikwa hadharani ni issue.
Idumu JF
 
Hatuwezi kuanzisha nyinine maana unaweza kuingia kwenye mikono ya mafisadi.
Mambo yote hapa hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…