MSHILWANOGI
Member
- Jun 5, 2011
- 11
- 7
Leo nilikuwa nasaka kitabu kipya chochote cha kusoma, ila kiwe cha kipelelezi na mapigano, nikakutana na kitabu kipyaaaa! Quality nzuri cha Musiba kiitwacho hujuma. Kilikuwa kimefungiwa kitabu hiki miaka ile ya wahujumu uchumi dhidi ya ujamaa. Nikamuuliza muuzaji wake akasema kimetokea KENYA. Nikasoma kama dakika 20 hivi baada ya kukikagua na kuona kina address ya mchapaji na kampuni husika,,,HABARI NDO HIYO...KINAPATIKANA KAMA nitapata nafasi nitakichambua japo kidogo. Naambiwa kinapatikana UBUNGO tu kwa watu wa BONGO WRITERS