MSHILWANOGI
Member
- Jun 5, 2011
- 11
- 7
Kinauzwa 8000/= tu.Kinauzwa kias gani mkuu
nmecheka sanaKuna movie nyingi Sana za kuangalia zinatuaubiri. Currently na Zina mafunzo mengi na ujanja mwingi. Full butdani. Hi ni karne ya 21.
HUJUMA
A.E . MUSIBA
Kwa
Waafrika ni mali ya Waafrika ,hivyo
Hujuma yoyote inapaswa kupingwa vikali.
“Afrika iliyojikomboa kwa uhuru wa bendera ,haiwezi
Kuwa huru kama wananchi wake,hasa walioaminiwa na
kushika madaraka wataamua kushirikiana na mabepari
kuhujumu rasilimali za mataifa yao wenyewe”
-ANDREW ENIUS MUSIBA_
kaeni mkao wa faida kusoma riwaya hii
no strings attached
Nakiuza 5,000 tu. 0621 090107Kinauzwa kias gani mkuu
Hayo majina mawili ya mwanzo sio sahihi. Majina yake sahihi ni Aristablus Elvis Musiba.HUJUMA
A.E . MUSIBA
Kwa
Waafrika ni mali ya Waafrika ,hivyo
Hujuma yoyote inapaswa kupingwa vikali.
“Afrika iliyojikomboa kwa uhuru wa bendera ,haiwezi
Kuwa huru kama wananchi wake,hasa walioaminiwa na
kushika madaraka wataamua kushirikiana na mabepari
kuhujumu rasilimali za mataifa yao wenyewe”
-ANDREW ENIUS MUSIBA_
kaeni mkao wa faida kusoma riwaya hii
no strings attached
Sawa kabisaHayo majina mawili ya mwanzo sio sahihi. Majina yake sahihi ni Aristablus Elvis Musiba.