utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Habari wanajukwaa.
Kuna habari zilizothibitishwa pasipo shaka kuwa kuna kundi la watu wasioitakia mema nchi yetu, wanapanga hujuma ya kulipua maeneo nyeti ya umma kwa malengo ya kisiasa na kuvuruga amani ya nchi na kutaka kuonyesha kwamba Dola haina uwezo wa kulinda raia na mali zao kwa upande mmoja na mali za umma kwa upande mwingine.
yapo majina nimetajiwa na chanzo changu yanayohusika na njama hizi lakini siwezi kuyataja hapa kwa sasa.
Maeneo nyeti yanayolengwa ni haya yafuatayo;
1.BUNGE
2.VYUO VIKUU VYA UMMA HASA UDSM, UDOM NA SUA.
3.HOSPITALI YA MUHIMBILI
4.OFISI ZA USALAMA WA TAIFA
5.OFISI ZA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, OFISI YA RAIS UTAWALA BORA,WIZARA YA FEDHA, WIZARA YA SHERIA NA KATIBA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Mpango huu utatekelezwa kwa awamu.
mtonyaji amenieleza kuwa wanaopanga mkakati huu wapo hapa nchini na wanashirikiana na wenzao kutoka mataifa ya nje.
NB;1- Wahusika wa maeneo hayo wachukue tahadhari na wananchi wasaidie kutoa taarifa wanazozitilia mashaka kuhatarisha usalama.
2- NAWAOMBA MODS WASIIONDOE THRED HII; WAIACHE WATU WACHANGIE KWA UHURU ILI KUISAIDIA NCHI YETU.
NTAWALETEA HABARI ZAIDI KADRI NTAKAVYOKUWA NAPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA MIPANGO YA WATU HAWA/KUNDI HILI.