Hujuma ya necta dhidi ya waislamu

Kwa maelezo hayo ya waziri mm binafsi nimeelewa jinsi lilivyoshughulikiwa,ongera mh.waziri
 
ebu na wewe sema hivi bible knowledge inayosahihishwa vema ina mchango gani kwenye career za wanafunzi
Naomba nikuulize,
Je Islamic Knowledge ina mchango gani katika career za wanafunzi? Je inachangia vipi katika kuendelea kusoma masomo ya mbele.
 
Inferiority complex inawasumbua sana hao Waislam. Kwa lipi ambalo wao hawalielewi?
 
ebu na wewe sema hivi bible knowledge inayosahihishwa vema ina mchango gani kwenye career za wanafunzi

Kibai na Ponera,
Kamwe Siwezi kuanzisha mada nyingine, kwani kwa msingi wako wa elimu na kiimani, hatuwezi kufikia makubaliano kwasababu ya tofauti kubwa sana kati yetu. Ni jambo lililo wazi kwamba hujawahi kusikia na wala hutasikia madai kama hayo yasiyo na tija kama haya ya Bible Knowledge au Islamic Knowledge yakitolewa na watu makini walioelemika. Kila la kheri katika madai yenu ya Islamic Knowledge.
 
Na nyie kwa kulalamika! Poleni sana hata hao wenye nayo na waliowalitea hiyo itikadi (Waarabu) hawajatulia kabisa, migongano, vita, kulalamika, kuchambuana kila kukicha. Duu bora mbadilishe mawazo wamewaingiza mkenge
 
Mnamkomesha nani kwa kugoma mtaendelea kua inferior kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri mambo kwa kina!
 
Siku zote ukweli unauma but ukweli utaendelea kubakia kwamba baraza la mtihani taifa ni chombo kisichofata mising ya haki tukisema munatwambia sababu za kidin kwan nyiny wakiristo hamuipendi din yenu iweje na waislam wasitetee haki zao. Necta na baadh ya waikristo ni madhalimu kwa uislam
 
Kumbe watu wanaikumbatia na kuipenda serikali inapodhulumu waislam lakin kwenye mambo mengine hujifanya wakali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…