K kitio Member Joined May 21, 2007 Posts 6 Reaction score 0 Apr 24, 2008 #1 Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma
Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma
Mzee wa Gumzo Senior Member Joined Apr 21, 2008 Posts 197 Reaction score 5 Apr 25, 2008 #2 Hujuma kwa watanzania hazikuanza leo na sijui mwisho wake ni lini.Hayo ya TTCL tuliyasikia muda tu lakini watafuna nchi wakajitahidi kufunika kombe. Ipo siku wahujumu uchumi watapandishwa kizimbani na mahakimu tutakuwa sisi wenyewe wajenga nchi...
Hujuma kwa watanzania hazikuanza leo na sijui mwisho wake ni lini.Hayo ya TTCL tuliyasikia muda tu lakini watafuna nchi wakajitahidi kufunika kombe. Ipo siku wahujumu uchumi watapandishwa kizimbani na mahakimu tutakuwa sisi wenyewe wajenga nchi...
U Ufunuo wa Yohana JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 319 Reaction score 72 Apr 25, 2008 #3 lete data Kitio, Huu mwaka si mchezo
K kitio Member Joined May 21, 2007 Posts 6 Reaction score 0 Apr 25, 2008 Thread starter #4 mtaji wote wa celtel ulitolewa na ttcl hadi kufikia hata baadhi ya wafanyakazi kuamishiwa celtel
K Keykey JF-Expert Member Joined Dec 1, 2006 Posts 3,251 Reaction score 747 Apr 26, 2008 #5 kitio said: Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma Click to expand... Hujuma ilikuwa kuwazuia TTCL kuanzisha Celtel, tena ilicheleweshwa sana kabla ya kukubaliwa baadae. Bado hatujui nani alipewa 'vijisenti' hadi ruhusa hiyo ikatolewa; kama data zipo ziweke hapa tuwapukutishe mafisadi mwaka huu!
kitio said: Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma Click to expand... Hujuma ilikuwa kuwazuia TTCL kuanzisha Celtel, tena ilicheleweshwa sana kabla ya kukubaliwa baadae. Bado hatujui nani alipewa 'vijisenti' hadi ruhusa hiyo ikatolewa; kama data zipo ziweke hapa tuwapukutishe mafisadi mwaka huu!