Huko CAF Simba ya 14, De Agosto 28, Namungo 56, Utopolo 75

Huko CAF Simba ya 14, De Agosto 28, Namungo 56, Utopolo 75

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa,

Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28,
De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi 10, Namungo ni ya 56 ikiwa na pointi 2, Utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5.

Kuweni na heshima, wapuuzi kabisa!
11.JPG
111.JPG
1111.JPG
 
Wasamehe wako ovess
majitu yana 0.5 points ni majungu kila siku left and right , hiyo namungo huko cairo inaheshimika zaidi yao, ahl tripoli ni ya 24 lakini mwaka jana alipigwa 2-0 na biashara kabla viongozi wao hawajauza mechi na kukataa kutokea mechi ya marudiano na wale jamaa wakaishia kuingia nusu fainali ya shirikisho
 
Utasikia Agosto ni team mbovu[emoji23]
wanalinganisha matokeo ya team hii wanataka yaende wanachowaza wao, biashara mara alipiga m lbya 2-0 mwaka jana mwishowe wale jamaa walifika nusu fainali na orlando pirates
Ndiyo maana wakiifungaga simba wanaonaga kama simba kamfunga berkane na sisi tutafunga tu
 
Utopolo wanahitaji councelling, tusipokuwa makini wale wataenda kuijaza mirembe..

Usishindane na timu iliyofika jana, leo mwenyeji amelishwa tatu, then kesho mgeni anaondoka....
 
Team ina wachawi wengi kuliko makocha kwenye benchi la ufundi na inategema ifike makundi ya caf champions league, de utopolo
 
Namungo wadogo zake Simba,wengine mtajijua sisi Simba atuna undugu na mazezeta.
 
Back
Top Bottom